UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

Hebu tuache kwanza, tupo katka maumivu ya kutoa pesa zetu za Tofali na kuwapa CCM.
 
Sijui kuhusu hizo goli 4 ila ni uhakika Simba inaenda kufungwa na Yanga kwenye ngao ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…