Utabiri: Simba kubeba taji la Kombe la Shirikisho barani Afrika 2021/22

Wana Simba wenzangu like huu uzi hakika unaenda kutimia na hata usipotimia tutakua washindi wa pili
 
Hivi Wanasimba wenzangu, hivi kwa Orlando tutatoka kweli?
Vizuri tu, kwa namna kaizer chief alivyotufanya tutakuwa makini sana kumbuka tulichomfanya mfanya as vita baada ya kutufungwa 5,msimu uliofuata tulikuwa makini tukamtoa najua wao watatudharau ndipo watakapo dhalilika simba ina uwezo mkubwa sana ukiona amefungwa amedharau mechi.
 
Kulingana na ubora walio uonyesha klabu ya simba katika mechi hizi 3 za hatua ya makundi ya Caf confederation cup ni wazi vigogo hawa wa soka la afrika huenda wakaenda kutwaa taji hilo kubwa afrika msimu huu 2021/2022

Simba imeonekana kuwa bora sana kwenye mechi 3 hizi za mwanzo ambapo imekuwa timu pekee katika kundi D kupata walau point ugenini na hii inatoa ishara kubwa kuwa huenda simba akamaliza kundi hili akiwa kileleni na kutinga hatua ya robo fainali

Kwa namna nilivyoziangalia timu shiriki za michuano hii ni wazi simba ana nafasi kubwa si ya kupita tu hatua ya robo fainali bali hata nusu fainal hali itakayopelekea kuingia fainali ya michuano hii na kubeba taji hilo kwa mara yao ya kwanza.

Simba kiuchezaji ina imarika kila siku benchi la ufundi linafanya kazi kubwa sana hivyo mpira watakaoucheza robo na nusu fainali utawashtua watanzania wengi hasa waliodhani labda simba imeshuka makali yake.

Tuendelee kusubiri muda lakini kwa zaidi ya 90% simba anaenda fainali ya hii michuano na kwa 60% atabeba hii ndoo kwa mara ya kwanza na kusimika rasmi ubabe barani afrika huku tukilielekea kombe la klabu bingwa barani afrika msimu unaofuata

View attachment 2135697
View attachment 2135698
View attachment 2135699

NI LAZIMA NDOO
 
Kupata comedy kama hii bonyeza 0
 
Berkane hana uwezo wa kumaliza akiongoza kundi mbele ya simba hawezi na hatakuja weza na asipojiangalia anaweza ishia makundi
Aibu zingine zakujitakia
giphy.gif
 
Kulingana na ubora walio uonyesha klabu ya simba katika mechi hizi 3 za hatua ya makundi ya Caf confederation cup ni wazi vigogo hawa wa soka la afrika huenda wakaenda kutwaa taji hilo kubwa afrika msimu huu 2021/2022

Simba imeonekana kuwa bora sana kwenye mechi 3 hizi za mwanzo ambapo imekuwa timu pekee katika kundi D kupata walau point ugenini na hii inatoa ishara kubwa kuwa huenda simba akamaliza kundi hili akiwa kileleni na kutinga hatua ya robo fainali

Kwa namna nilivyoziangalia timu shiriki za michuano hii ni wazi simba ana nafasi kubwa si ya kupita tu hatua ya robo fainali bali hata nusu fainal hali itakayopelekea kuingia fainali ya michuano hii na kubeba taji hilo kwa mara yao ya kwanza.

Simba kiuchezaji ina imarika kila siku benchi la ufundi linafanya kazi kubwa sana hivyo mpira watakaoucheza robo na nusu fainali utawashtua watanzania wengi hasa waliodhani labda simba imeshuka makali yake.

Tuendelee kusubiri muda lakini kwa zaidi ya 90% simba anaenda fainali ya hii michuano na kwa 60% atabeba hii ndoo kwa mara ya kwanza na kusimika rasmi ubabe barani afrika huku tukilielekea kombe la klabu bingwa barani afrika msimu unaofuata

View attachment 2135697
View attachment 2135698
View attachment 2135699
Umeumbuka!
 
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhhahahahahahahahahahahHahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahhahahahahaahhahahahahahahahahaahahahhahahaahahahahahahahahaahahhaahah
 
Back
Top Bottom