Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco.
Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba ikiwa na golikipa Bora wa Karne ya 21 J.kaseja Juma waliweza kufungwa Goli mbili ndani ya dakika moja na Simba kupoteza mchezo huo kwa goli tatu kwa 0. Leo mchezo hautakiwi kuwa tofauti.
Uwezo wa golikipa atakayecheza Leo ndio utakaowapa matokeo Simba leo Kama golikipa hana uwezo wa kufanya save zaidi ya 5 inaweza kuwa balaa.
Namna ya uchezaji wa morroco na timu nyingi kutoka Africa ya kaskazini shambulizi lao lazima lifike mwisho na Mara nyingi kwa usahihi. Simba itahitajika kutumika nguvu ya ziada ili kuwin mchezo
Utabiri
Algorithm ya masshele.com inaniambia FT SIMBA 1 WYDAD 1