UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya robo fainali CAF Champions 2023/2024

UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya robo fainali CAF Champions 2023/2024

Hawatoboi, mfano mechi ya Yanga pale kwa mkapa itakua ngum sana. wale madogo wanagonga sana kaunta.
 
Kama hazitokutana robo fainali, basi Simba na yanga zitakutana fainali kwa mkapa
 
Ngoja tumuone Yanga kwenye matokeo ya nyumbani ndiyo tupate la kusema!

Ni mapema mno!
 
Simba tunatoboa[emoji16][emoji16][emoji16]
Na kweli tumetoboa. Kutoka nafasi ya 3 mpaka ya pili tuliyoitarajia hadi ya mwisho tuliyoipata.
CAF wakisema NYUMAA A GEUKA. Sisi tunakua wa mwanzo, ASEC anachukua nafasi yetu.
Tujipongezeni Wana Lunyasi[emoji234][emoji123][emoji249]
 
Back
Top Bottom