FFT: Simba Sc 8 - 0 Yanga Sc.
~> Jukwa la Yanga litazimia na mashabiki wao watazimia.
Jamiiforums members: demigod na Nifah wata_delete accounts Jf na watakuja na accounts zingine.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji21] [emoji36] [emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakina Aveva wamefanikiwa sana kucheza na akili za mashabiki wa Simba,wanasajili kwa mbwembwe sana ligi ikianza wanaifunga Yanga matches nyingine wanafungwa mwisho wa ligi Yanga ndio Bingwa na mashabiki hawahoji lolote lile tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]Masikini....ubingwa wa FIFA umelipa. Tushasahau
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilidhani mnataka kuchukua ndoo ya VPL mara kibao.
Yanga keshapiga mara 27. Matopeni mara 18.
Kuna deni la ndoo 8 hapo
Yanga, Tanzania historic champion
Nyie kila siku ndoo ya VPL , mbona tukiwafunga mnadondoka kama embe za mdondo pale jukwaniNilidhani mnataka kuchukua ndoo ya VPL mara kibao.
Yanga keshapiga mara 27. Matopeni mara 18.
Kuna deni la ndoo 8 hapo
Yanga, Tanzania historic champion
Kila mechi ina point tatu na mwisho wa siku bingwa ni mwenye point nyingi au magoli mengi ya kufunga. Ndiyo maana ya ligi.Nyie kila siku ndoo ya VPL , mbona tukiwafunga mnadondoka kama embe za mdondo pale jukwani