Utabiri: Simba sc vs Yanga ; October,2017.

Utabiri: Simba sc vs Yanga ; October,2017.

FT: Simba Sc 8 - 0 Yanga Sc.
~> Jukwa la Yanga litazimia na mashabiki wao watazimia.
Jamiiforums members: demigod na Nifah wata_delete accounts Jf na watakuja na accounts zingine.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji21] [emoji36] [emoji36]
F
Labda kwa style Ya DHL FIFA. Usajili wenu ni wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi, hivyo tegemea kulipia point kama kawa.
 
Wakina Aveva wamefanikiwa sana kucheza na akili za mashabiki wa Simba,wanasajili kwa mbwembwe sana ligi ikianza wanaifunga Yanga matches nyingine wanafungwa mwisho wa ligi Yanga ndio Bingwa na mashabiki hawahoji lolote lile tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilidhani mnataka kuchukua ndoo ya VPL mara kibao.

Yanga keshapiga mara 27. Matopeni mara 18.

Kuna deni la ndoo 8 hapo

Yanga, Tanzania historic champion
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilidhani mnataka kuchukua ndoo ya VPL mara kibao.

Yanga keshapiga mara 27. Matopeni mara 18.

Kuna deni la ndoo 8 hapo

Yanga, Tanzania historic champion
Nyie kila siku ndoo ya VPL , mbona tukiwafunga mnadondoka kama embe za mdondo pale jukwani
db7bead4756e78cfaf39eaf5c8936e44.jpg
 
Nyie kila siku ndoo ya VPL , mbona tukiwafunga mnadondoka kama embe za mdondo pale jukwani
db7bead4756e78cfaf39eaf5c8936e44.jpg
Kila mechi ina point tatu na mwisho wa siku bingwa ni mwenye point nyingi au magoli mengi ya kufunga. Ndiyo maana ya ligi.
Yanga na Simba zimekuatana mara ngapi na nani kashinda mechi nyingi zaidi ukiacha zile za sare?
 
Back
Top Bottom