Utabiri: Sio Simba wala Yanga atakayefuzu kuingia nusu fainali

Me naona ni bora tu zimetolewa hizo timu maana ziligeuka kuwa muhimili mwingine wa serikali na chama cha mapinduzi, afadhali zimetolewa tupumzike kusikia kauli za kipuuzi kutoka kwa Ndugu. Ndumbaro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo ujisomeee mwenyewee
Makolo mmepasuliwa nje ndani.

Mmelitia aibu taifa.

Sisi kama sio Motsepe kupiga simu kwa refa kumwambia akatae kuangalia VAR unajua ambacho kingetokea.
 
Makolo mmepasuliwa nje ndani.

Mmelitia aibu taifa.

Sisi kama sio Motsepe kupiga simu kwa refa kumwambia akatae kuangalia VAR unajua ambacho kingetokea.
Kupasuka ni kupasuka tu
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Yani makazini, bar, mtaani hadi masokoni ni Yanga mara Simba inafikia hatua unaona watu kibao washakuwa waduwanzi sasa.
 
Hii text umeicopy unachofanya ni kuipest tu
 
Makolo mmepasuliwa nje ndani.

Mmelitia aibu taifa.

Sisi kama sio Motsepe kupiga simu kwa refa kumwambia akatae kuangalia VAR unajua ambacho kingetokea.
Mmetolewaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo mmelitia taifa aibu.

Mmeshindwa kushikilia bomba home and away kote mmepasuliwa.

Poor kolomelodi.
Mmetolewaaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…