cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu rudiaa?Msituweke kwenye kundi lenu mmepigwa kote kote sisi lefa kafanya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu rudiaa?Msituweke kwenye kundi lenu mmepigwa kote kote sisi lefa kafanya yake
Makolo mmepasuliwa nje ndani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo ujisomeee mwenyewee
Yani makazini, bar, mtaani hadi masokoni ni Yanga mara Simba inafikia hatua unaona watu kibao washakuwa waduwanzi sasa.Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Hii text umeicopy unachofanya ni kuipest tuUkishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Lefa kweli sio refaMsituweke kwenye kundi lenu mmepigwa kote kote sisi lefa kafanya yake
Mmetolewaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo mmepasuliwa nje ndani.
Mmelitia aibu taifa.
Sisi kama sio Motsepe kupiga simu kwa refa kumwambia akatae kuangalia VAR unajua ambacho kingetokea.
Makolo mmelitia taifa aibu.Mmetolewaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetolewaaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo mmelitia taifa aibu.
Mmeshindwa kushikilia bomba home and away kote mmepasuliwa.
Poor kolomelodi.
Naona hapo nyie mnacheza nusu fainali.Mmetolewaaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetolewaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Naona hapo nyie mnacheza nusu fainali.