Mijinga nyie kwani kwani inakuwaga na la kufanya zaidi ya kubeti beti?
Unadhani ka mtu ni kama 'mjinga wewe'?
Ama kweli wajinga ndiyo waliwao kama unavyoliwa wewe 'mjinga wewe'!
[emoji16][emoji16][emoji16].yaani huo utabiri wako kamwe hautatimia ..
Tunaendelea kudunda..
Hakuna lock down NA CORONA SI MUDA INAISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichukua muda kidogo kukuelimisha nikidhani unaweza kutambua hatari ilivyo na fursa zilipo kwenye gonjwa hili.
Sinao muda mwingi wa kupoteza na mtu asiyeelewa wala kuwa na nafasi ya kujifunza akaelewa.
Si unajua akili zote kubwa na ndogo zimeumbwa na maulana?
Ukipenda rejea mabandiko yangu yote.
Ningependa mno binafsi na familia yangu, wewe na yule tukanusurika na janga la ugonjwa huu. Hilo halitatokea kwa kukaa tu au kwa hatua zozote zilizopo sasa.
Utanikumbuka kitakapo nuka sawa sawa.
Kwa heri ya kuonana.
Iliyokuwa top secret kwa serikali kutokuchukua act in March yaweza kuwa ni hii:
Yaonyesha alikuwa kapanga kuwakamua vilivyo walipa kodi kwanza. Mengine yote (uchaguzi mkuu nk) yalikuwa geresha tu.
Hata hivyo tutampongeza mno kwa kwenda total lockdown bila ya kuchelewa zaidi.
Rwanda wanabakiza siku 2 za lockdown the process is worth and doable. Tayari kasi ya maambukizi imeshaanza kupungua.
Kasi ya maambukizi Afrika kusini imeshaanza kupungua pia kufuatilia total lockdown.
Source: Kwa hatua hii ya BOT, naamini Sasa Magufuli naye Ameelewa COVID-19 is serious, tujiandae kwa Curfew/lockdown - JamiiForums