Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ujinga utawatoka 2025.Chadema iliyonunuliwa na CCM?Itashinda vip?Wananch wa Sasa wanaelewa sana.
hicho ndio huwa kinawafariji ikifika uchaguz mnatumia polis.CHADEMA haipo siku hizi.
Ongeza na mkoa wa Rukwa..majimbo 4..Kwela ..nkasi kaskazin na nkasi kusini na sumbawanga mjiniKutokana na upepo wa kisasa unavyovuma na kupepea, wabunge wa CCM wa mikoa hii ifuatayo wanapaswa wajiandae kisaikolojia:
Kilimanjaro.
1) Moshi mjini: CHADEMA
2)Hai:CHADEMA
3)Moshi vijijini: CHADEMA
4)Siha: CHADEMA
5)Vunjo:CHADEMA
6)Rombo CHADEMA
ARUSHA
1) Arusha town: CHADEMA
2)Arumeru mashariki: CHADEMA
4) Arumeru magharibi: CHADEMA
Kule umasaini kugumu kidogo ingawa CHADEMA inaweza kupata baadhi ya majimbo na kata.
MARA
1)Musoma mjini:CHADEMA
2)Tarime mjini:CHADEMA
3)Tarime vijijini:CHADEMA
4)Bunda mjini:CHADEMA
5)Serengeti:CHADEMA
6)Rorya:CHADEMA
DAR ES SALAAM
1)Ubungo:CHADEMA
2)Kibamba:CHADEMA
3)Kinondoni:CHADEMA
Upo uwezekano wa CHADEMA kushinda majimbo zaidi ya hayo. Jimbo la kawe sikuliweka katika kapu la CHADEMA kwasababu kama mdee akigombea ubunge kupitia chama kingine anaweza kushinda au kugawa kura na hivyo kuinufaisha CCM.
MBEYA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3. Ikiwemo mbeya mjini,mbarali,mbeya vijijini n.k.
SONGWE
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3 yakiwemo tunduma,mbozi n.k.
IRINGA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3 yakiwemo iringa mjini,isimani n.k.
MANYARA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3
SINGIDA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2
NJOMBE
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
MWANZA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
SHINYANGA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2
SIMIYU
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
MOROGORO
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3.
ACT WAZALENDO wanaweza kutamba mikoa ifuatayo:
KIGOMA
1) Kigoma mjini ACT WAZALENDO
2) Kigoma kusini:ACT WAZALENDO
3)Kasulu mjini:ACT WAZALENDO
Upo uwezekano wa kuongeza majimbo kwa Act wazalendo.
LINDI
1) Lindi mjini: ACT WAZALENDO
2)Kilwa kusini: ACT WAZALENDO. Kama bwege atagombe itakuwa rahisi Sana.
RUVUMA
1) Tunduru kaskazini:ACT WAZALENDO. Ado ni mbunge anaesubiri kuapishwa.
2) Tunduru kusini:ACT WAZALENDO. Mtutura ni mbunge anaesubiri kuapishwa.
ZANZIBAR
PEMBA: majimbo yote 18 ya pemba yatachukuliwa na act wazalendo.
UNGUJA: ACT WAZALENDO wanaweza kushinda zaidi ya majimbo 9.
NB. Yote yatawezekana kama uchaguzi itakuwa wa huru na wa haki.
I STAND TO BE CORRECTED.
NAWASILISHA KWENU.
Hata mimi kama ningekuwa ccm na ninatarajia kugombea ningesema hivyo.Endelea kuota ndoto
Nafikiri hivyo.Kutokana na upepo wa kisasa unavyovuma na kupepea, wabunge wa CCM wa mikoa hii ifuatayo wanapaswa wajiandae kisaikolojia:
Kilimanjaro.
1) Moshi mjini: CHADEMA
2)Hai:CHADEMA
3)Moshi vijijini: CHADEMA
4)Siha: CHADEMA
5)Vunjo:CHADEMA
6)Rombo CHADEMA
ARUSHA
1) Arusha town: CHADEMA
2)Arumeru mashariki: CHADEMA
4) Arumeru magharibi: CHADEMA
Kule umasaini kugumu kidogo ingawa CHADEMA inaweza kupata baadhi ya majimbo na kata.
MARA
1)Musoma mjini:CHADEMA
2)Tarime mjini:CHADEMA
3)Tarime vijijini:CHADEMA
4)Bunda mjini:CHADEMA
5)Serengeti:CHADEMA
6)Rorya:CHADEMA
DAR ES SALAAM
1)Ubungo:CHADEMA
2)Kibamba:CHADEMA
3)Kinondoni:CHADEMA
Upo uwezekano wa CHADEMA kushinda majimbo zaidi ya hayo. Jimbo la kawe sikuliweka katika kapu la CHADEMA kwasababu kama mdee akigombea ubunge kupitia chama kingine anaweza kushinda au kugawa kura na hivyo kuinufaisha CCM.
MBEYA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3. Ikiwemo mbeya mjini,mbarali,mbeya vijijini n.k.
SONGWE
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3 yakiwemo tunduma,mbozi n.k.
IRINGA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3 yakiwemo iringa mjini,isimani n.k.
MANYARA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3
SINGIDA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2
NJOMBE
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
MWANZA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
SHINYANGA
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2
SIMIYU
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 2.
MOROGORO
CHADEMA inaweza kushinda zaidi ya majimbo 3.
ACT WAZALENDO wanaweza kutamba mikoa ifuatayo:
KIGOMA
1) Kigoma mjini ACT WAZALENDO
2) Kigoma kusini:ACT WAZALENDO
3)Kasulu mjini:ACT WAZALENDO
Upo uwezekano wa kuongeza majimbo kwa Act wazalendo.
LINDI
1) Lindi mjini: ACT WAZALENDO
2)Kilwa kusini: ACT WAZALENDO. Kama bwege atagombe itakuwa rahisi Sana.
RUVUMA
1) Tunduru kaskazini:ACT WAZALENDO. Ado ni mbunge anaesubiri kuapishwa.
2) Tunduru kusini:ACT WAZALENDO. Mtutura ni mbunge anaesubiri kuapishwa.
ZANZIBAR
PEMBA: majimbo yote 18 ya pemba yatachukuliwa na act wazalendo.
UNGUJA: ACT WAZALENDO wanaweza kushinda zaidi ya majimbo 9.
NB. Yote yatawezekana kama uchaguzi itakuwa wa huru na wa haki.
I STAND TO BE CORRECTED.
NAWASILISHA KWENU.
We ndo unajifariji..Farijianeni kwa maneno hayo - hata mmoja hamtapata.
Hapo kwa kawe umekosea Mdee atashinda tu kama atarudi chadema. Watu wa Kawe ni well informed.Ramli
Nguvu kubwa ya Dola itahitajika’’ mwisho wa kunukuu ! Duh 🙄 !!Kwa nafasi ya urais wa Zanzibar, ubunge,uwakilishi na udiwani mtiti ni uleule au zaidi. Labda kidogo nafasi urais wa muungano,tena kama mama ataadjust kidogo mambo ya muungano yanayolalamikiwa kila siku na wazanzibari.
Vinginevyo nguvu kubwa ya dola itahitajika kulazimisha ushindi kwa CCM.
Na huko pemba ndio kabisaa.
Tuombe muda utasema - CCM si chama cha kupoteza JimboWe ndo unajifariji..
Ule unyang'anyi wa jiwe hauwezekani kwa sasa!
Umma hawakubaliani na ule uhuni..Tuombe muda utasema - CCM si chama cha kupoteza Jimbo