UTABIRI: Upinzani utapata zaidi theluthi moja ya wabunge 2025

Ongeza na mkoa wa Rukwa..majimbo 4..Kwela ..nkasi kaskazin na nkasi kusini na sumbawanga mjini

Kagera majimbo 6, karagwe, kyerwa , bukoba mjini, muleba kusini, ngara na misenyi

Geita 3 Chatto , Geita mjini na Busanda

Dodoma 2.. dodoma mjini na chemba

Singida 4, singida mjini, singida mashariki, manyoni na singida kaskazin

Mtwara 3 , mtwara mjini, ndanda na masasi

Dar es salaam 8, kigamboni, Temeke, ukonga, segerea, kibamba, ubungo, kawe na kinondoni

Tanga 3, Tanga mjini, Lushoto na korogwe

Ruvuma 3, madaba , songea mjini na peramiho

Morogoro 5, mlimba, mikumi, kilombelo, malinyi na ulanga

Hayo ndo majimbo ambayo Chadema itakwenda kuyachukua 2025 kwa ufupi ... people'ssss
 
Nafikiri hivyo.
 
Simiyu Itilima, Meatu ni opposition by nature lkn pia Maswa Ina u chadema sana, kwa Bariadi pia wakipata mgombea mzuri Kama wakili msomi Simba wanachukua mapema tu
 
Nguvu kubwa ya Dola itahitajika’’ mwisho wa kunukuu ! Duh 🙄 !!
 
Tuombe muda utasema - CCM si chama cha kupoteza Jimbo
Umma hawakubaliani na ule uhuni..
Labda wewe hukujua kilichofanyika maeneo kadhaa ya nchi kutokana na vyombo vya habari kuzuiwa kutangaza na mitandao ya internet kuzimwa!

Pia, kwa sasa hakuna mtawala katili wa kusimamia uporaji kwa shuruti kwa kiwango kile cha 28/10/2020.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…