Utabiri : Vibaraka wa Mo dewj (wanasimba) Baada ya dakika kadhaa watakuja kusema wao ni timu kubwa Kama mamelody ndiyo maana wametolewa wote na wydad.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nipo nimekaa paleee

Baada ya wydad kutinga fainali kwa faida ya goli la ugenini na kufanikiwa kuwatoa mamelody kwa mbungi iliyopigwa na kutoka sare ya magoli mawili Kila timu.

Sasa tusubiri nyuzi/kutoka msimbazi za kuja kujisifia na kujifananisha kuwa wao wapo sawa na mamelod kwa kuwa timu yao imetolewa na wydad iliyomtoa mamelodi.
 
Mmeifunga timu iliyoshuka daraja halafu mmejiweka eti nanyi ni wakubwa Africa!

Sasa hivi mnajiita eti waarabu?!! Akili za kitumwa fulani hizi
 
Yanga SC fans hawajawahi kuwa sawa kichwani isipokua mzee kikwete mzee manara na mzee wangu.
 
Mmeifunga timu iliyoshuka daraja halafu mmejiweka eti nanyi ni wakubwa Africa!

Sasa hivi mnajiita eti waarabu?!! Akili za kitumwa fulani hizi
Fika na wewe fainali tuone Kama uwezo huo unao unadhani fainali ni kwenda chooni kwamba Kila mtu anaenda??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simba ni timu kubwa Sana.

Ukiongeza wachezaji wa tatu tu inacheza Fainali.
CAFCL.

Bangala , Aucho na Mayele.
 
Back
Top Bottom