NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nipo nimekaa paleee
Baada ya wydad kutinga fainali kwa faida ya goli la ugenini na kufanikiwa kuwatoa mamelody kwa mbungi iliyopigwa na kutoka sare ya magoli mawili Kila timu.
Sasa tusubiri nyuzi/kutoka msimbazi za kuja kujisifia na kujifananisha kuwa wao wapo sawa na mamelod kwa kuwa timu yao imetolewa na wydad iliyomtoa mamelodi.