NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nipo nimekaa pale nakunywa alkasus nasubi nyuzi zenye title kubwa zikiimba kuwa mamelody ni sawa na Simba.Mbona unajiwah sana Mzee baba .
Maana mliibeza Simba Sasa nadhan Kuna kitu mnaanza kukiona taratibu.
Au mamelod nao ni wabovu.
We subiri tu utaona threads zinavyotapakaa humuNa nyuzi kibao za kujisifia walivyokufa kiume[emoji23][emoji23][emoji23]
Watateseka sana huu Mwaka
Vipi mbona unanibusuMpfyuuuuuuuuuuuu
Mpfyuuuuuuuuuuuu MpfyuuuuuuuuuuuuVipi mbona unanibusu
Ulikua unaandaa nondo Nini??
Njoo nazo tu [emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pole sana Kama ulikua unaandaa nondo wewe njoo nazo tu tutachangiaMpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu
Wamekufa kiume hatuwadai.Pole sana Kama ulikua unaandaa nondo wewe njoo nazo tu tutachangia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mmeifunga timu iliyoshuka daraja halafu mmejiweka eti nanyi ni wakubwa Africa!Nipo nimekaa paleee
Baada ya wydad kutinga fainali kwa faida ya goli la ugenini na kufanikiwa kuwatoa mamelody kwa mbungi iliyopigwa na kutoka sare ya magoli mawili Kila timu.
Sasa tusubiri nyuzi/kutoka msimbazi za kuja kujisifia na kujifananisha kuwa wao wapo sawa na mamelod kwa kuwa timu yao imetolewa na wydad iliyomtoa mamelodi.
Yanga SC fans hawajawahi kuwa sawa kichwani isipokua mzee kikwete mzee manara na mzee wangu.Mmeifunga timu iliyoshuka daraja halafu mmejiweka eti nanyi ni wakubwa Africa!
Sasa hivi mnajiita eti waarabu?!! Akili za kitumwa fulani hizi
Fika na wewe fainali tuone Kama uwezo huo unao unadhani fainali ni kwenda chooni kwamba Kila mtu anaenda??Mmeifunga timu iliyoshuka daraja halafu mmejiweka eti nanyi ni wakubwa Africa!
Sasa hivi mnajiita eti waarabu?!! Akili za kitumwa fulani hizi
Umesahau na Rage edit comment yako uongeze jina lakeYanga SC fans hawajawahi kuwa sawa kichwani isipokua mzee kikwete mzee manara na mzee wangu.
Nimekuwahi ulichotaka kuandika na kuja kujisifia hapa kuwa Simba ni bingwa.Unawashwa[emoji1787]
Walivyokuwepo akina mikson mlifika wapi.Simba ni timu kubwa Sana.
Ukiongeza wachezaji wa tatu tu inacheza Fainali.
CAFCL.
Bangala , Aucho na Mayele.