Ngoja tuoneHello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Tunza uzi huu.
Bingwa wa CAF confederation cup, NBC Premier leag na CRDB cup ni ZEMBA. Bingwa wa CAF Champions league atakuwa Nadel Al Ahly.Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Tunza uzi huu.
Hayo ya kabumbu hayanihusu ila hapo Uefa ndipo pana nihusu. Bingwa ni Barcelona baada ya kumpiga PSG 1 bila majibu.Hello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
Barcelona atatolewa na inter Milan kwenye nusu fainali kati YaoHayo ya kabumbu hayanihusu ila hapo Uefa ndipo pana nihusu. Bingwa ni Barcelona baada ya kumpiga PSG 1 bila majibu.
Tuendelee kusubiri tuone.Barcelona atatolewa na inter Milan kwenye nusu fainali kati Yao
yaan inter milan afungwe na arsernal alaf sowah ndiye atachukua kiatu alaf CRDB atachukua yangaHello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
du! bahat mbaya tutamkosa robert lewandowski kwa wiki mbili hiki kitu kinaniuma kumkosa mchezaji mwenye uzoefuHayo ya kabumbu hayanihusu ila hapo Uefa ndipo pana nihusu. Bingwa ni Barcelona baada ya kumpiga PSG 1 bila majibu.
Ukishamuondoa Robert Lewondosk kikosini, wanaobaki ni watoto wasio na uzoefu wowote ligi ya mabingwa ndio maana watapigwa na inter Milan.du! bahat mbaya tutamkosa robert lewandowski kwa wiki mbili hiki kitu kinaniuma kumkosa mchezaji mwenye uzoefu
Duuh wewe sidhani hata kama game za Barca unaangalia!Ukishamuondoa Robert Lewondosk kikosini, wanaobaki ni watoto wasio na uzoefu wowote ligi ya mabingwa ndio maana watapigwa na inter Milan.
kibaya zaidi inter milan wana defence ngumu ikiongozwa na bastoni lakini tunaweza kutoboa we are barcaUkishamuondoa Robert Lewondosk kikosini, wanaobaki ni watoto wasio na uzoefu wowote ligi ya mabingwa ndio maana watapigwa na inter Milan.
arsenal hata fainali hanusiAl Ahly
Berkane
Yanga
Mzize
Alsenal
Hii Iko wazi tu