Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia

JK alikuwa mkali kweli kwa ile kauli ya Chalamila, mpaka akataka Chalamila ashughulikiwe, kumbe alijua sasa pesa zinapigwa ndani, hakuna sababu kwa mawaziri kutoka nje kwenda kukopa!.

Ndio maana wizara zinazoongoza kwa upigaji ni zile zile ambazo mawaziri wake wanausaka Urais, Nishati na Fedha. Hapo hakuna bahati mbaya, yote ni mipango.
 
Hakika utabiri wa Chamila unatimia japo alipondwa sana lakini ukweli unakuja wenyewe mawaziri wote wenye nia na urais 2025 ndio wanaitia doa CCM na serikali yake kwenye wizi wa kila aina
 
JK alikuwa mkali kweli kwa ile kauli ya Chalamila, mpaka akataka Chalamila ashughulikiwe, kumbe alijua sasa pesa zinapigwa ndani, hakuna sababu kwa mawaziri kutoka nje kwenda kukopa!.

Ndio maana wizara zinazoongoza kwa upigaji ni zile zile ambazo mawaziri wake wanausaka Urais, Nishati na Fedha. Hapo hakuna bahati mbaya, yote ni mipango.
Kuna waziri saiz haogopi kumtaja mkubwa Kila akiona mishale inamuelekea.

Akibanwa utamsimsikia " Hili hata Mkubwa analifahamu".
 
JK alikuwa mkali kweli kwa ile kauli ya Chalamila, mpaka akataka Chalamila ashughulikiwe, kumbe alijua sasa pesa zinapigwa ndani, hakuna sababu kwa mawaziri kutoka nje kwenda kukopa!.

Ndio maana wizara zinazoongoza kwa upigaji ni zile zile ambazo mawaziri wake wanausaka Urais, Nishati na Fedha. Hapo hakuna bahati mbaya, yote ni mipango.
Si ndo vijana wa mama,labda wanamsaidia mama kukusanya za uchaguzi,kwa akili ya kawaida haiwezekani wakope halafu president wa nchi asijue,🤔nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Back
Top Bottom