Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
Kwaiyo hapo ndipo ilipoanza safari ya kifo chake?, maana kwa muono wangu mleta mada amelenga zaidi kifo kuliko matokeo ya kujiuzuru kwakeSasa hapo ndipo mwanzo wa safari. Mtu akisema Southern Giant atakwenda mwanza wakati huo southern Giant mwenyewe yupo Zanzibar kesho yake huyo southern Giant akianza safari akionekana Chalinze watu waulize mbona haendi mwanza?
Safari ni hatua na hatua huanza na Moja.
Tuache ushabiki wa kjinga. Hakuna alichotabiri. Kila nafsi itaonja mauti.
Mama Samia anaongoza watu wazito sana.Watanzania na miujiza ni kama kumsukuma mlevi mkuu🤣
Bahati mbaya ni ujinga wa kujitakiaWatanzania tuna ujinga mkubwa sana .
Kila mtu na siku yakeMbona hakufa lema sasa?
Sema hii pisi ni noma sana.
Mtu anaitwa nabii kisa kasema flani atakufa, ingekua kuna option ya kuishi milele tungesema kweli katabiri vinginevyo ni upuuziLema yeye atakufa lini?
naamMama Samia anaongoza watu wazito sana.
Naum kifo ni kifo tu!! Kauli za kibri cha uzima.
Hakuna utabiri hata kidogo hapo.