Utabiri wa huyu Mchungaji umeniogopesha. Ni nani huyu?

Utabiri wa huyu Mchungaji umeniogopesha. Ni nani huyu?

Wakuu,

Huyu Mchungaji ni nani. Hapa wamesema ametokea Zimbabwe maana huu utabiri wake umenishtua sana.

Tuache tumelala
downloadfile.jpg
 
Huyu si ndo baba wa kiroho wa mzee wa kupuliza gesi??
 
Watu wasiwe stupid kupitiliza!! Swala la muhimu sio yeye ni nani swala ni kinasemwa nini? Mjadili hoja sio kumjadili mtu you little brains
 
Back
Top Bottom