Ukiwa mwanachama wa CCM huwezi kuwa fisadi (kuna kinga maalumu kwao), mafisadi ni wapinzani tu. Hao wote kina Kangi Lugola hawatapelekwa popote (watakaopelekwa ni watendaji wa chini wa magereza tu).
Refference;
1) Ishu ya ESCROW wabunge wa CCM wote waliohusika hakuna aliepelekwa hata polisi posti (ahilia mbali kupelekwa mahabusu au mahakamani).
2) Ishu ya EPA, DOWANS na nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.