CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Leo inabidi pupa akamatwe kwa kusema uongo. Dk ya kumi goli 2
Mpumbavu WA UTOPOLO Katika ubora wake......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo inabidi pupa akamatwe kwa kusema uongo. Dk ya kumi goli 2
😂😂😂Huo ndio ushindi coastal ilibidi waupate .....sema bahasha imegeuza[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣😘 HajakimbiA KWeIi?Matako kweli wewe aisee,yaan huwazi lolote zaidi ya chuki binafsi dhidi ya simba
Siku ile uliahidi Simba asipofungwa na Dynamos 3-0 utatoa tigo, baada ya mechi ukatoa. Leo unaahidi kutoa tena?Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).
Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.
Hivi huko Utopoloni mnaishije??Wamenunua mechi .. Makolo
Siku ile uliahidi Simba asipofungwa na Dynamos 3-0 utatoa tigo, baada ya mechi ukatoa. Leo unaahidi kutoa tena?
kwani huo utabiri haukukuonyesha kuwa watanunua?Wamenunua mechi .. Makolo
Naona tayari wengine wameshajaa. 🤣🤣🤣Makolo naweza hawa mkuu[emoji23]
Tafuta pesa mkuu