Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Haya kiazi mbatataUchambuzi wangu
Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi
Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....
Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Mwaka Jana nikifika hapa kwa kutembea kutoka Buguruni hadi hapa kanisani. Nimebarikiwa nimeokota gari jipya Tena halitumii mafuta mengi,pia nilikuwa siwezi kumaliza chapati 20 ila sasa namaliza na kindoo cha maziwa fresh.Aposto Nini kimetokea....sound of mwamposaaaaa
Sio muda utaanzisha uzushi, Simba havuki makundi!Uchambuzi wangu
Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi
Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....
Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Nilitamani jina langu liwemo tuongezeke wenye akili Yanga ila nilipoota kuwa Power Dynamos leo atamkanda Simba 5G kwa bila Chamazi nimeona Bora nisiongezwe!1-Mzee Sunday Manara.
2-Mzee Jakaya Mrisho Kikwete.
Kama haujaona jina lako kafie mbelembele huko.
Ngapi ngapi hukoNilitamani jina langu liwemo tuongezeke wenye akili Yanga ila nilipoota kuwa Power Dynamos leo atamkanda Simba 5G kwa bila Chamazi nimeona Bora nisiongezwe!
Jana Key day nilikosa bukta ningepandisha juu sijui mabinti damdam wa FA ilikuwaje!
Sasa Moloko Day inakuja sote wanayanga tutableach nywele!
Kweli kwa boli wanalopiga Yanga kuzidi Real Madrid na Barcelona sijui Al Nasr , lazima mashabiki mizuka itupande na tuonekane hamnazo, hakuna Raha kama timu yako kupiga boli la uhakika , kushinda mechi na kubeba makombe! Kufa kiume haikubaliki Yanga!
Sasa hata Yanga ikipangiwa kucheza na Asec Mimosas makundi mashabiki tutaenda na mabasi 50 huko Ivory Coast na tutashinda!
Hii Yanga Pira GAMONDI imezidi sifa Sasa hata Brazil , Argentina au Ufaransa wakija tunawapiga, Makolo hatuwataki kucheza nao tena kiwango chao duni mpira wao wa vurugu , kukamia mechi, uchawi wa kukafini maiti na rafu, hakuna fomesheni wala possession, kucheza derby na wao inashusha kiwango na thamani ya Yanga, derby yetu Sasa wanayanga tunataka iwe na Al Ahly au Wydad , Makolo papatu papatu fc tupa kule!
Leo Simba ni kweli itapasuka 5 - 0 mi kama kawa nawatakia Kila la kheri Power Dynamos, nimekaa zangu pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kutolewa klabu bingwa Africa Leo!
Viva Power Dynamos, tunyamazishieni Makolo, nia mnayo, sababu mnayo na uwezo mnao! Leo Power Dynamos watakuwa kamili 11 uwanjani Makolo hawatafurukuta maana hupenda ushindi au droo za kimagumashi! Kama Kuna kolo wizard anabisha akafie mbelembele huko!!
Duh.. mtauwa watu...Uchambuzi wangu
Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi
Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....
Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Power Dynamos 1 - Simba 0 , utabiri unaenda vizuri. Half time! Makolo wamelooooooa! Ha ha ha! Tukiwaambia hawana timu wanashupaza mishipa ya shingo! Mwaka huu Simba haigusi makundi itaishia kupata ngao ya jamii tu! Huzuni itaendelea watakapokandwa ndani nje na Al Ahly super cup!Ngapi ngapi huko
Hujambo mkuu?Nilitamani jina langu liwemo tuongezeke wenye akili Yanga ila nilipoota kuwa Power Dynamos leo atamkanda Simba 5G kwa bila Chamazi nimeona Bora nisiongezwe!
Jana Key day nilikosa bukta ningepandisha juu sijui mabinti damdam wa FA ilikuwaje!
Sasa Moloko Day inakuja sote wanayanga tutableach nywele!
Kweli kwa boli wanalopiga Yanga kuzidi Real Madrid na Barcelona sijui Al Nasr , lazima mashabiki mizuka itupande na tuonekane hamnazo, hakuna Raha kama timu yako kupiga boli la uhakika , kushinda mechi na kubeba makombe! Kufa kiume haikubaliki Yanga!
Sasa hata Yanga ikipangiwa kucheza na Asec Mimosas makundi mashabiki tutaenda na mabasi 50 huko Ivory Coast na tutashinda!
Hii Yanga Pira GAMONDI imezidi sifa Sasa hata Brazil , Argentina au Ufaransa wakija tunawapiga, Makolo hatuwataki kucheza nao tena kiwango chao duni mpira wao wa vurugu , kukamia mechi, uchawi wa kukafini maiti na rafu, hakuna fomesheni wala possession, kucheza derby na wao inashusha kiwango na thamani ya Yanga, derby yetu Sasa wanayanga tunataka iwe na Al Ahly au Wydad , Makolo papatu papatu fc tupa kule!
Leo Simba ni kweli itapasuka 5 - 0 mi kama kawa nawatakia Kila la kheri Power Dynamos, nimekaa zangu pale gizani Buza kwa Mpalanger nawasubiri mbumbumbu fc waje kushtaki baada ya kutolewa klabu bingwa Africa Leo!
Viva Power Dynamos, tunyamazishieni Makolo, nia mnayo, sababu mnayo na uwezo mnao! Leo Power Dynamos watakuwa kamili 11 uwanjani Makolo hawatafurukuta maana hupenda ushindi au droo za kimagumashi! Kama Kuna kolo wizard anabisha akafie mbelembele huko!!
Why have you reached out the "very'? 😂Stupid