Uchawi upo ..na impact inaonekanaWapumbavu, aliewaambia kuwa Simba aingii makundi ni nani wachawi wakubwa nyie, baada ya mfanye sherehe ya kuingia makundi baada ya miaka 25 mnakuja kushadidia mzoefu wa kuingia makundi club bingwa mna wazim.
Katafute bwana sasa kwani inaelekea mimba changa uliyotiwa na Simba inakusumbua sana.Uchawi upo ..na impact inaonekana
Unatukana mamba? Subiri mshike mkia makundi utasema Yanga tuna akili , kushinda Kwa goli la ugenini ni aibu Sana !Wapumbavu, aliewaambia kuwa Simba aingii makundi ni nani wachawi wakubwa nyie, baada ya mfanye sherehe ya kuingia makundi baada ya miaka 25 mnakuja kushadidia mzoefu wa kuingia makundi club bingwa mna wazim.
Sijambo Mtani Jana goli la kujifunga Power Dynamos ule ni uchawi dhahiri Toka Pemba!Hujambo mkuu?