Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Wapumbavu, aliewaambia kuwa Simba aingii makundi ni nani wachawi wakubwa nyie, baada ya mfanye sherehe ya kuingia makundi baada ya miaka 25 mnakuja kushadidia mzoefu wa kuingia makundi club bingwa mna wazim.
Uchawi upo ..na impact inaonekana
 
Simba kuingia makundi sio news tena ni jambo la kawaida kama ambavyo kesho ni Jumatatu tarehe 2 Oktoba 2023.Hivi ukiambiwa kesho ndio tarehe niliyokutajia utashangaa au ni kawaida tu.Ndio sawa na Simba kuingia makundi.Sasa imekuwa ada.Sio news tena.
 
Wapumbavu, aliewaambia kuwa Simba aingii makundi ni nani wachawi wakubwa nyie, baada ya mfanye sherehe ya kuingia makundi baada ya miaka 25 mnakuja kushadidia mzoefu wa kuingia makundi club bingwa mna wazim.
Unatukana mamba? Subiri mshike mkia makundi utasema Yanga tuna akili , kushinda Kwa goli la ugenini ni aibu Sana !
 
Back
Top Bottom