Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
Haya tuma salamu kwa wavaa vinjunga wenzako
 
Tukisema tatizo letu ni kukosa akili mtabisha

Huyu naye ni mtu, analala, anaamka, anakata Gogo na kutafuta riziki

Na home anaitwa mama

Cursed
 
Uchambuzi wangu

Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi

Facts
Power Dynamo watakuja kucheza Kwa kujilipua coz hawana Cha kupoteza mbele ya kolo ......so kitendo Cha kujilipua Kwa kushambulia kama nyuki ...... power Dynamo wataambulia goli 2. Since defense ya kolo + goalkeeping is very poor....huku Makolo wakitoka 0 ..... kutokana na kucheza Kwa pressure kubwa .....

Hivyo basi
Kwaherin maKolo .. ahsanteni Kwa kushiriki.... Tukutane champions mwaka ujaoView attachment 2768221
weka na ngao ya jamii
 
images (2) (1).jpeg
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom