Hyo kili marathon sahv yenyewe ishaharibiwaWabongo huwa tunakusubiri uanzishe kitu. Tukijiridhisha kinalipa tunaingia humo tupambane. Si unaona mradi wa marathons, hadi kuna Mbagala marathon!
Mkuu hao viongozi wa ccm. wastarabu wamesaidia nini kwenye taifa hili?Chadema ikishika dola huyu ndiye waziri wa fedha...
--Ukiifikiria chadema ukiangalia wanautaka urais ukiangalia safu yao unabakia mdomo wazi,yupi ana leardership materials!...(Hakuna),wanataka NCHI.
Show ya chamelion ilipooza sana haijabambaInasiktisha Sana.
"Bongo Fleva HANA" naona imejaribiwa.
Mpaka Sugu kaongea hivyo kuna possibility labda Show Ya Jose Kinyonga haijaCLICK.
Daah inasikitisha sana na ndiyo maana SUGU kaona ameingiliwa kwenye Sector yake.Show ya chamelion ilipooza sana haijabamba
Ila sugu apunguze ego, kama kukataa kushiriki tamasha la miaka 30, naona kama amezingua, kwasababu kwenye show anazoandaa amekua akipata support kutoka kwa wasanii wote mpaka wanaotofautiana naye kiitikadi, sasa yeye kuwakataa wenzake haijakaa sawa kabisa. Afu pia misimamo yake ya kisiasa asichanganye na Music ataharibuDaah inasikitisha sana na ndiyo maana SUGU kaona ameingiliwa kwenye Sector yake.
"Dili la Malaria ,Dili la Malaria nani alianza?" Noma sana.
Wakati tunapata uhuru nchi ilikuwa na lami kilometer 170 tu,nchi nzima..Mkuu hao viongozi wa ccm. wastarabu wamesaidia nini kwenye taifa hili?
Na Singapore 🇸🇬 kipindi inapata uhuru ilikuwaje?Wakati tunapata uhuru nchi ilikuwa na lami kilometer 170 tu,nchi nzima..
#kipande kimojawapo ni kile cha magogoni mpaka mnazi mmoja!...
Singapore kana ukubwa wa mkoa au kisiwa cha unguja....(Ukishakuwa cdm na akili zinajifunga nini?)Na Singapore 🇸🇬 kipindi inapata uhuru ilikuwaje?
Alikuwa sawa kabisa kukataa chukulia kampuni ya pepsi imwalike kampuni ya coca kwenye uzinduzi wa kinywaji chake uonaona iko sawa ivyo ndo ilivyotokea kwa sugu walikuwa wap kusupport hao wasanii mpaka walipo muona sugu kaanzishaIla sugu apunguze ego, kama kukataa kushiriki tamasha la miaka 30, naona kama amezingua, kwasababu kwenye show anazoandaa amekua akipata support kutoka kwa wasanii wote mpaka wanaotofautiana naye kiitikadi, sasa yeye kuwakataa wenzake haijakaa sawa kabisa. Afu pia misimamo yake ya kisiasa asichanganye na Music ataharibu
Kea sababu ni Mkinga ndio apewe uwaziri? Nipe sababu ya maama na ya msingi ya kufanya Sugu apewe uwaziriChadema ikishika dola huyu ndiye waziri wa fedha...
--Ukiifikiria chadema ukiangalia wanautaka urais ukiangalia safu yao unabakia mdomo wazi,yupi ana leardership materials!...(Hakuna),wanataka NCHI.
Unachanganya mambo mawili tofauti kabisa: ushindani wa kibiashara na sanaa.Alikuwa sawa kabisa kukataa chukulia kampuni ya pepsi imwalike kampuni ya coca kwenye uzinduzi wa kinywaji chake uonaona iko sawa ivyo ndo ilivyotokea kwa sugu walikuwa wap kusupport hao wasanii mpaka walipo muona sugu kaanzisha
Hukuona 30 ya bongofleva waliingiza siasa hadi wakazomewa ndio wakaacha? Maana walikuwa wamepanga liwe la kisiasa na sugu alisema alikuwa anajua lengo lao kablaUnachanganya mambo mawili tofauti kabisa: ushindani wa kibiashara na sanaa.
Pepsi na Coca-Cola ni washindani wa moja kwa moja kibiashara, hivyo ni kawaida mmoja kutomualika mwenzake kwenye uzinduzi wa bidhaa yake. Lakini hapa tunazungumzia maadhimisho ya miaka 30 ya Bongo Fleva, si kampeni ya CCM wala ya CHADEMA.
Mbona na wasanii wengine wenye misimamo au uanachama wa CCM wamekuwa wakishiriki kwenye matamasha kama Bongo Fleva Honors kwa moyo mmoja bila kugeuza sanaa kuwa uwanja wa siasa? Hapo wanatenganisha kazi ya sanaa na siasa za vyama.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba Sugu mwenyewe aliwahi kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kupanda jukwaani kwenye show ya Profesa Jay akisema jukwaa la sanaa halifai kuingiza siasa. Kama aliamini hivyo kipindi kile, leo inakuwaje yeye mwenyewe anaingiza siasa kwenye tukio la kuadhimisha historia ya Bongo Fleva?
Kama kweli msimamo wake ni kutenganisha sanaa na siasa, basi alipaswa kuhudhuria kama msanii anayeheshimu historia ya muziki, si kuifanya sherehe ya Bongo Fleva ionekane ni ya chama fulani.
Hufahamu hawa wanaopigania na viongozi wa chadema ndiyo top appointed wenyewe,unafikiri ataokotwa mtu kutoka mbali,hapana ni wao kwanza,wakishajaa labda ndiyo wengine waingizwe,hizi ndizo hulka za binadamu toka enzi na enzi.Kea sababu ni Mkinga ndio apewe uwaziri? Nipe sababu ya maama na ya msingi ya kufanya Sugu apewe uwaziri