Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,401 Reaction score 9,555 Aug 5, 2026 #21 Crocodiletooth said: Chadema ikishika dola huyu ndiye waziri wa fedha... --Ukiifikiria chadema ukiangalia wanautaka urais ukiangalia safu yao unabakia mdomo wazi,yupi ana leardership materials!...(Hakuna),wanataka NCHI. Click to expand... Bora huyu kuliko hilo kundi la majambazi wa hapo lumumba
Crocodiletooth said: Chadema ikishika dola huyu ndiye waziri wa fedha... --Ukiifikiria chadema ukiangalia wanautaka urais ukiangalia safu yao unabakia mdomo wazi,yupi ana leardership materials!...(Hakuna),wanataka NCHI. Click to expand... Bora huyu kuliko hilo kundi la majambazi wa hapo lumumba
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,914 Reaction score 168,320 Aug 5, 2026 #22 Crocodiletooth said: Hufahamu hawa wanaopigania na viongozi wa chadema ndiyo top appointed wenyewe,unafikiri ataokotwa mtu kutoka mbali,hapana ni wao kwanza,wakishajaa labda ndiyo wengine waingizwe,hizi ndizo hulka za binadamu toka enzi na enzi. Click to expand... Kwani katiba mpya imepatikana? Hiyo katiba imeshasema Waziri anapatilanaje? Awe na sifa zipi za kitaaluma?
Crocodiletooth said: Hufahamu hawa wanaopigania na viongozi wa chadema ndiyo top appointed wenyewe,unafikiri ataokotwa mtu kutoka mbali,hapana ni wao kwanza,wakishajaa labda ndiyo wengine waingizwe,hizi ndizo hulka za binadamu toka enzi na enzi. Click to expand... Kwani katiba mpya imepatikana? Hiyo katiba imeshasema Waziri anapatilanaje? Awe na sifa zipi za kitaaluma?
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,234 Reaction score 28,473 Aug 5, 2026 #23 Bujibuji Simba Nyamaume said: Kwani katiba mpya imepatikana? Hiyo katiba imeshasema Waziri anapatilanaje? Awe na sifa zipi za kitaaluma? Click to expand... Time is a good teacher!...
Bujibuji Simba Nyamaume said: Kwani katiba mpya imepatikana? Hiyo katiba imeshasema Waziri anapatilanaje? Awe na sifa zipi za kitaaluma? Click to expand... Time is a good teacher!...