ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ni sawa kulingana na uelewa wakoKwan umekatazwa kutoa mtazamo wako?
Hamkui akili?
Kwakua Manara anakuzidi akili ni sawaKumbuka maneno ya Manara kuihusu Yanga
unatabiri au unasimuliaSimba: atashinda bao mbili kwa nunge bao la pili watapa jioni kabisa japo mchezo utakuwa mgumu.
Yanga: tofauti na matarajio ya wengi mchezo huu utakuwa mgumu kwa Yanga na wakimbinu zaidi kwa wapinzani wageni watatangulia huku Yanga akichomoa wajikute muda siyo rafiki tena,sare ya magoli.
Kwani kuna sehemu amesema ni kulingana na uelewa wako?sahihi kulingana na uelewa wako
Kwani akili zenyewe wanazo basi?Kwan umekatazwa kutoa mtazamo wako?
Hamkui akili?
Na huo ndiyo uanaume halisiKaka Mshana huwezi kuficha mahaba yako kwa:
- Chadema
- Simba
Na huo ndiyo uanaume halisi
Kashindwa kumjibu mtabiri akakudandia weye.
Mwanaumw huwa hajifichi anajigamba.Kwa hiyo Sagai unasema Mshana ni Mwanaume halisi, he he he!
tulia dogoKwani kuna sehemu amesema ni kulingana na uelewa wako?
Wewe wasema,Mimi nimesema wewe ni dada mrembo sanaKwa hiyo Sagai unasema Mshana ni Mwanaume halisi, he he he!
.Sahihi kabisa