Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Hahahaha mzeeKitajulikana siku hiyo hiyo maana hata jua/mwezi huweza kufunikwa na moshi wa kuni au majani yaliyo chomwa na mwanadamu.
Sawa mkuuUtapeli.
HahahahWatanzania wenzangu huyu ni ccm max plus, kunaujii anajalibu kuukolaga kimya kimya aunywe pekee gizani.
Muda utaongea
inatakiwa aseme ni mwezi upi sababu kuna miezi mingi na karibia kila sayari inamwezi wakemwezi unapitaje juu ya pluto, that is completely bullshit.
Una akili sana! Kuna sayari zingine zina miezi mingi sanainatakiwa aseme ni mwezi upi sababu kuna miezi mingi na karibia kila sayari inamwezi wake
Mkuu kwenye uchambuzi uliona Constalation ya Tar 21, October 2025 kwenye Spica na 69 Virginis, Naona kuna 2 Giants pale! Inaweza kutembea tar 22!
- Mwezi utapita juu ya Pluto, nyuma ya Saturn.