Utabiri wa Pascal Mayalla na maono ya Askofu Kardinal Pengo

Utabiri wa Pascal Mayalla na maono ya Askofu Kardinal Pengo

Basi tu,sijui kwanini lakini nyuzi nyingi za wiki hii zimenikera na kunichefua sana.
Ngoja tu ni log off.Kama sio kupigwa utajikuta una kesi na Jamhuri.
 
Wote uliowaongelea yaani pengo na huyo sijui pascal ni wachumia tumbo (walamba viatu). Mawazo yao siyo neutral either yanatokana au yanalenga kujipatia faida kutoka kwa wanayemsifia. Ni kama ulivyo uana harakati wa musiba au wa yule benson bana wa udsm. Hivyo hakuna haja ya kupoteza muda kuyafikilia sana, kwa ufupi mawazo ya hao watu wawili ni ya kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom