Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Shafii sauda si mchambuzi sijui hii taaluma kaipata wapi yeye anachojua ni historia ya wachezaji na si kuchambua mpira
Fuatilia hili jambo utagundua
Fuatilia hili jambo utagundua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni Shafii Dauda na sio Shafii Sauda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shafii sauda si mchambuzi sijui hii taaluma kaipata wapi yeye anachojua ni historia ya wachezaji na si kuchambua mpira
Fuatilia hili jambo utagundua
Barcelona kacheza na wigan.. tupe tokeoBarcelona acheze na Wigan Athletic ...then useme lolote laweza kutokea.
Huo utakuwa kujitoa ufahamu..[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchambuzi uchwara, kasha chaniwa mkeka.[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)
AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)
AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]
Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika
[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhan kwamba kakosea,haahaa kamaanisha huyo.....Mkuu ni Shafii Dauda na sio Shafii Sauda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko fasta kama ka kwanwa... sijui atachambua nini tenaWakati Vita walipotuwahi goli la mapema akapost eti "mnyama" Vita ashafanya yake..aliwaamini kupita kiasi...
Akirudi kukupa matokeo.. uniite
Mikia FC.
Nenda leba. Wenye uchungu kama wewe huwa wanapewa msaada huko.Mikia FC.
Teh teh ! Simba imemchania mkekaWakati Vita walipotuwahi goli la mapema akapost eti "mnyama" Vita ashafanya yake..aliwaamini kupita kiasi...