Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
2011 acha uongo au typing error, yeye hakuwa Mungu aliona kwa uchache, kwa walioona muda mrefu walisema hao Marais baada ya Kikwete wataondoka kwa aina moja hakuna ambae atazidi miaka 7 madarakani,Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Kwahiyo tujiandae kuongozwa na rais nchimbi?2011 acha uongo au typing error, yeye hakuwa Mungu aliona kwa uchache, kwa walioona muda mrefu walisema hao Marais baada ya Kikwete wataondoka kwa aina moja hakuna ambae atazidi miaka 7 madarakani,
Weka hii kumbukumbu hasa watokanao na CCM, sasa sijui ni vichekesho au kweli mimi na wewe hatujui.
Ndoto zackimweri hazikuwahi kudanganya,
Weka ushahidi wa audio ao video maana alikuwa anatumia sana Channel fulaniSheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Utabiri wa kiunajimu siyo kitu cha kukiamini, hiyo ni ramli kama ramli nyingine tuSheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Nimekuhamu...πAlisema wapi? Maana hayo ni maneno umeandika wewe
Sawa sawaAlisema wapi? Maana hayo ni maneno umeandika wewe
Sahihi kabisa iyo video ipo youtube hata leo.Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Weka link hapaSahihi kabisa iyo video ipo youtube hata leo.
Naona sana hii habari hivi ni kwamba shekhe alitabiri (aliongea haya maneno yote) kweli?Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Nimekuhamu...π
Mkuu kwahiyo ni kweli aliongea hayo yote?Huu utabiri ulipingwa na JamiiCheck
Huwezi kuimaliza hamu ya kasongo! maana hamu zangu huwa zinapandiliana!Nipigie basi hamu yako ikwishe π
Ili likitimia itakuwa vyema sana hasa 2025.Sheikh Yahya alisema!