Utabiri wa Sheikh Yahya

Utabiri wa Sheikh Yahya

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
 
2011 acha uongo au typing error, yeye hakuwa Mungu aliona kwa uchache, kwa walioona muda mrefu walisema hao Marais baada ya Kikwete wataondoka kwa aina moja hakuna ambae atazidi miaka 7 madarakani,

Weka hii kumbukumbu hasa watokanao na CCM, sasa sijui ni vichekesho au kweli mimi na wewe hatujui.

Ndoto zackimweri hazikuwahi kudanganya,
 
Kwahiyo tujiandae kuongozwa na rais nchimbi?
 
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Weka ushahidi wa audio ao video maana alikuwa anatumia sana Channel fulani
 
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Utabiri wa kiunajimu siyo kitu cha kukiamini, hiyo ni ramli kama ramli nyingine tu
 
Hichi kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote, ila ni kweli alisema. Na video zake zenye ushahidi zimefutwa kwa nguvu zote mtandaoni.

Alishajitabiria kifo chake kwa kusema tarehe hiyo ndo mwisho wa dunia kumbe ndo mwisho wake yeye.

Mpaka sasa 75% ya utabiri wake umetimia.

R.i.p Chief
 
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Sahihi kabisa iyo video ipo youtube hata leo.
 
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Naona sana hii habari hivi ni kwamba shekhe alitabiri (aliongea haya maneno yote) kweli?
 
Sheikh Yahya alisema!
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Sheikh Yahya alifariki 2021
Ili likitimia itakuwa vyema sana hasa 2025.
 
Back
Top Bottom