holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
je wajua mwisho wa dunia ni ile cku wewe mwenyewe (mimi mwenyewe) nakata roho! Hakuna tena maisha baada ya kufa kwako (kwangu),yule chief alitabiri mwisho wa dunia na kweli tuliona mwisho wa dunia akafa yeye.Hichi kitu ccm wanakipinga kwa nguvu zote, ila ni kweli alisema. Na video zake zenye ushahidi zimefutwa kwa nguvu zote mtandaoni.
Alishajitabiria kifo chake kwa kusema tarehe hiyo ndo mwisho wa dunia kumbe ndo mwisho wake yeye.
Mpaka sasa 75% ya utabiri wake umetimia.
R.i.p Chief