Utabiri wa TMA kila siku ni huu

Huku mwambao wa pwani hakuna...sasa mbina wanasema mvua tanga, pwani unhuja na hakuna kiti
 
.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Weather forecast inayofanywa kisayansi huambatana na probabilities ili kuwafanya wasikilizaji waelewe kwamba bado kuna chance (hata kama ni ndogo) ya hicho kitu kutokutokea. Mazafakas wao wanafanya weather forecast kwa style ya wapiga ramli wa Bagamoyo!
 
Niko Arusha hapa, jana imepiga, na leo asubuhi imenyesha kama masaa matatu ya kunyooka. Na usiku huu bado inanyesha manyunyu ya hapa na pale. Kuna dalili tukakesha nayo.
Hizo mvua za maembe tu ni kawaida ,walivyosema elninyo tukajiaandaa kwa elninyo lakini olaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…