Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

Utabiri wa Yahya upo mbioni kutimia?

Naongezea kwenye utabiri huo

Huyo mpinzani atakayechukua nchi kwa sasa bado yupo ndani ya CCM. Atakuja kutoka na atakuwa na influence kubwa kama ilivyokuwa kipindi cha Lowassa 2015. Tutulie tuombe uzima, yajayo yanafurahisha 😜😜
 
Sheikh yahaya alisema hili.
Cintent nyingi za sheikh yahaya zimepotea na kufichwa kwa makusudi.
Mengi aliyoyatabiri yametokea.
Sema upinzani wenyewe wa kuchukua nchi haupo imagine eti Rais wa Tz mbowe au lipumba
 
Iko hivi Upinzani Mwaka huu ujao hawatachukua Upinzani! Baada ya miaka 5 kuisha yaani mwaka 2030 ndio Upinzani Utachukua nchi Sio kwa uchaguzi ujao!

Jaribu kuyadadavua vizuri. Nina uhakika mwaka 2030 Upinzani wanachukua.
Hapana, 2025 huyo bibi hawezi kutawala.
 
Utabiri wa Sheikh Yahaya Hussein unaelekea kwenye utimilifu, baadhi ya aliyoyasema yameisha timia bado moja tu la Urais ambalo litafumbuliwa October 2025.
Sheikh Yahaya alitabiri kuwa baada ya kipindi cha utawala wa awamu ya nne atapatikana Rais mchekeshaji, mweusi atakayetawala kwa muda mfupi sana ... Baada yake Tanzania itapata Rais wa kwanza mwanamke. Hakuna ubishi kuwa Magufuli alikuwa Rais mchekeshaji wa muda mfupi....Utabiri ulitimia.
Sehemu ya mwisho ya utabiri wake ilikuwa; baada ya utawala wa Rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike upinzani utachukua Dola.
 
Naongezea kwenye utabiri huo

Huyo mpinzani atakayechukua nchi kwa sasa bado yupo ndani ya CCM. Atakuja kutoka na atakuwa na influence kubwa kama ilivyokuwa kipindi cha Lowassa 2015. Tutulie tuombe uzima, yajayo yanafurahisha 😜😜
Ndivyo itakavyokuwa
 
Utabiri wa Sheikh Yahaya Hussein unaelekea kwenye utimilifu, baadhi ya aliyoyasema yameisha timia bado moja tu la Urais ambalo litafumbuliwa October 2025.
Sheikh Yahaya alitabiri kuwa baada ya kipindi cha utawala wa awamu ya nne atapatikana Rais mchekeshaji, mweusi atakayetawala kwa muda mfupi sana ... Baada yake Tanzania itapata Rais wa kwanza mwanamke. Hakuna ubishi kuwa Magufuli alikuwa Rais mchekeshaji wa muda mfupi....Utabiri ulitimia.
Sehemu ya mwisho ya utabiri wake ilikuwa; baada ya utawala wa Rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike upinzani utachukua Dola.
MZee wa hiii hiiii bhagosha
 
Back
Top Bottom