Utabiri wako kwenye mechi kati ya Simba na Kaezar chiefs ni upi?

Utabiri wako kwenye mechi kati ya Simba na Kaezar chiefs ni upi?

Watopolo wanashida hawa watu,kabla ya mashindano kuanza walitabiri Simba kupigwa hamsa hamsa sahivi wamepunguza kiwango.wanakwambia Simba 0-3 Kaizer sio hamsa tena!
 
Mwishoni mwa wiki,Simba anatarajia kucheza na Kaezar chiefs, Nini utabiri wako kuhusu matokeo ya mechi hiyo?
Sijawahi kuona mechi ya KCFC hata moja kwahiyo ni ngumu kwangu kutabiri,
 
Back
Top Bottom