MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Simba au paka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila ushindi kwa Simba wakiwa ugenini ni muhimu hata ikiwa ushindi wa goli moja.Kuwa na akiba ya maneno mtani!
Most realistic prediction so far.FNB Kaizer 2 Simba 0, Taifa Simba 1 Kaizer 1.
Utopolo km Utopolo Ni takatakaKaiser 3 0 Simba, FNB., Simba 0 2 Kaizer Mkapa Stadium
Daah nne tena bila kwa Simba hii, hizi ni chuki binafsiKaizer Chiefs 4. Simba 0
Utopolo wazee wa kanuniSimba au paka?
Simba leo anapigwa 4G Hamtaamini. Na ndiyo mtafahamu kwamba Gomez hana tofauti na UchebeHata aje Bayern atakula 4Gkea Simba hii. Huyo Kaizer Chiefs kama mtoto wa chekechea tu. Give moya!
Lakini kwenye ligi yao hawapo nafasi nzuri sana,Nimeangalia michezo mitatu ya kaiza chiefs: 1. Wa kwanza ni ule wa juzi juzi kwenye ligi yao ya ndani. Hawakucheza vizuri na huwezi kuamini kuwa hak ndio wako robo fainali ya caf champions league. 2. Wa pili ni ule waliocheza na Horoya kwenye mashindano haya ya champions league. Kwenye mchezo huu Kaizer chiefs ilikuwa kama timu nyingine kabisa! Wanacheza mpira kwa nguvu na kujituma sana. Simba watarajie kaizer chiefs kama hii!!?. 3. Mchezo wa tatu ni ule waliocheza na mamelod sundowns kwenye ligi ya ndani!! Huwezi kuamini!! Kaizer chiefs ilikuwa bora sana na mamelod sundowns waliangukia pua! Simba ategemee kukutana na Kaizer chiefs iliyochangamka!!
Kaizer chiefs ni timu ambayo hua inapania sana inapocheza na timu kubwa kwa lengo la kujitangaza. Simba wategemee upinzanj wa hali ya juu. Naamini mwisho wa siku Simba itaibuka mshindi ila si kwa mtelemko!!