permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Leo mmeshinda ngapi?Utopolo kimyaaaaa!! Ujasiri wa kuiponda simba umeanza kuishia! Maana kila walipoiponda iliibuka kidedea!!
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mmeshinda ngapi?Utopolo kimyaaaaa!! Ujasiri wa kuiponda simba umeanza kuishia! Maana kila walipoiponda iliibuka kidedea!!
Njoo futa comment yakoDaah nne tena bila kwa Simba hii, hizi ni chuki binafsi
Mmekula 4 G,paka nyieKaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
Vp upo milembe au wapi saiziUmejitoa ufaham
Mkuu hongera sanaKaizer Chiefs 4. Simba 0
Vp unahali gani huko ulipo?Endelea kuumia Dada mvaa vjora na Madela
Walikosea sana naona nyie mmeongeza mojaWatopolo wanashida hawa watu,kabla ya mashindano kuanza walitabiri Simba kupigwa hamsa hamsa sahivi wamepunguza kiwango.wanakwambia Simba 0-3 Kaizer sio hamsa tena!
We jamaa ungelamba bingo kwa mhindi kama ungebetiKaizer Chiefs 4. Simba 0
Ulitabiri vizuri sanaKaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
Mku wewe kweli n LIKUD shikamooKaizer Chiefs 4. Simba 0
Arithmetic and geometryMkuu ulichungulia wapi matokeo?
Sijui umeamka au bado unaota?Kaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Mkuu chungulia na hapa huenda ukawa dhahabu huko mbeleni...BARCELONA vs CELTA VIGOArithmetic and geometry