Utabiri wako kwenye mechi kati ya Simba na Kaezar chiefs ni upi?

Utabiri wako kwenye mechi kati ya Simba na Kaezar chiefs ni upi?

Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Mkuu hongera sana
7b5bc6a201b647609ec1f15470a33eb9.jpg
 
Watopolo wanashida hawa watu,kabla ya mashindano kuanza walitabiri Simba kupigwa hamsa hamsa sahivi wamepunguza kiwango.wanakwambia Simba 0-3 Kaizer sio hamsa tena!
Walikosea sana naona nyie mmeongeza moja
 
Naona MIKIA FC wamekimbia Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Comments nyingi zimezihirisha takataka fc wameambukizwa maneno na msemaji wao .lolote linawatoka bila kujali ukweli wa mambo...tujaribu kuuliza kwa mkapa mnasemaje tena?
 
Comments nyingi zimezihirisha takataka fc wameambukizwa maneno na msemaji wao .lolote linawatoka bila kujali ukweli wa mambo...tujaribu kuuliza kwa mkapa mnasemaje tena?
Tujipange upya,bado dakika 90 nyingine
 
Back
Top Bottom