Utabiri wako, Simba anaenda kupigwa ngapi na Vipers iyo kesho?

Utabiri wako, Simba anaenda kupigwa ngapi na Vipers iyo kesho?

Japo akili uinagoma kuamini MAKOLO FC watafungwa kesho......?????

Ila naomba wapigwe tu .....coz ukifanya fujo na unaambiwa usifanye ...ukakaidi ....utapigwa tu[emoji16][emoji16]
IMG-20230125-WA0003.jpg
 
Ushauri wangu yule kocha mbrazili angeenda na mabegi yake moja kwa moja tu maana kipigo watakachopigwa huko uganda hakuna mwana Simba atakayekubali kumuona tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hjcho langu la kimpira naona kabisa Vipers anashinda ila sio goli zaid ya mbili.
Vipers 2-0 Simba. Je Simba atapigwa ngapi ? Tupia ubashiri wako
Nabii ulitaka kula sadaka za bure, ila Mungu wa kweli amekuumbua. Acha kuufuata ushirikina, utakufa mdomo wazi kama Azizi
 
Pole sana mumeo tumempiga kigoli kimoja cha nguruwe
 
Back
Top Bottom