Azam kocha wanae mbonaHili swala lipo kihisia zaidi. Ni mapema mno kuweza kutabiri.
Kwanza, hujajua uzito na ujazo wa vikosi husika. Usajili ndo kwanza unaanza. Azam haina hata kocha bado. Haijasajili bado mchezaji mpya.
Pili, Ligi yetu ya NBC wenye kuonyesha kiu ya kulitaka haswa ni wawili. Wanachukua kwa kupokezana, Lunyasi na Utopolo. Azam bado haijajijenga kuwa mtafuta Ubingwa.
Hata kama Azam atachukua, si kwa sababu uliona kiutaalam bali hisia zako zilikuongoza kuropoka.
Kocha wao anaitwa nani?Azam kocha wanae mbona
Kutoka Cameroon jina sikumbukiKocha wao anaitwa nani?
Kumbe nawe mnyakiTawireee baba
Ndo wanasemaga tawiree??Kumbe nawe mnyaki
Mwaka kesho mbali huko kote? tumpe tu mzunguko wa kwanza ukiisha aje atwambie hicho kitimu chake kipo nafac ya ngape!Sisi kazi yetu ni kuquote na panapo majaaliwa ya uzima na afya, tuurejelee huu uzi mwaka kesho...
hiyo ni lamri π πNi ubashiri au utabiri?
Itakua aisee π€£ π€£hiyo ni lamri π π
Mlishakaa miaka 5 mfululizo bila kombe Kuanzia 2012/13,2013/14, 2014/15, 2015/16 na 2016/17Ina maana Simba ndo tusibebe kwa miaka 3?
Maana yake mnataka tuendelee kaa bila kombe?Mlishakaa miaka 5 mfululizo bila kombe Kuanzia 2012/13,2013/14, 2014/15, 2015/16 na 2016/17
Sijui mie....naona mnafagia tuu pale simbaNdo wanasemaga tawiree??