Utabiri wangu CAF

Nasubiri kuwacheka timu fulani hivi
Au basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
Vice versa is true
 
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
Rudi kwenye uzi wako wa utabiri wa timu za makundi. Si ulitabiri Yanga haitofuzu makundi wewe? Halafu kundi la Simba ukatabiri timu tatu zitafuzu makundi (Simba, Horoya na Raja zote zitafuzu)na kwenye ule uzi umeenda chaka na huku unataka kutupeleka chaka tena

Hukuelewa vizuri kule nilitabiri timu zitakazofuzu ligi ya mabingwa Africa na sio shirikisho Afrika
 
Inabidi abeti nyumba yake huyu bwana
 
Naona umempokea kijiti dada yako cocastic! Muda wote ni kuchekacheka tu. Sijui unaelekea wapi ukiwa kama kijana mdogo wa kiume.
 
Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.

Nakubaliana na finalists wa mashindano yote mawili Ila kwenye ubingwa namuona Mamelody, huku CAF CC ubingwa ni 50/50 kwa finalist hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…