Usm alger ni timu dhaifu sana nailinganisha na geita gold au kagera sugar. Kwa maana hiyo kombe losers linatabebwa na uto.Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023
1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.
2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.