Utabiri wangu CAF

Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023

1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali.

2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
Usm alger ni timu dhaifu sana nailinganisha na geita gold au kagera sugar. Kwa maana hiyo kombe losers linatabebwa na uto.
 
Ukiamka kutoka usingizini ndoto zaikakuisha ndipo tutajadili hoja yako.
 
Usm alger ni timu dhaifu sana nailinganisha na geita gold au kagera sugar. Kwa maana hiyo kombe losers linatabebwa na uto.
UTABIRI unaelekea kutimia
 
Naona umempokea kijiti dada yako cocastic! Muda wote ni kuchekacheka tu. Sijui unaelekea wapi ukiwa kama kijana mdogo wa kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rhabhekhaaaaaaaa
Upoooooo???
 
Usm alger ni timu dhaifu sana nailinganisha na geita gold au kagera sugar. Kwa maana hiyo kombe losers linatabebwa na uto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…