Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

Habari wakuu..

Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
Mkuu, utabiri wako ni kuwa mmojawapo wa hao wawili anaweza kuwa bingwa. Kama ratiba ya mtowano na mpaka fainali imetoka, ingeweza kuwa sawa. Lakini, wanaweza kukutanishwa mapema kabla ya kufika fainali. Hivyo, fainali wasikutane.
 
Na hawatakutanishwa kwa sababu wameongoza makundi yao
 
Hujaangalia mpira wa Bayern's Munich na dotmund hao ajax wako na liverpool hawatoboi wale jamaa ni makatili sana.
 
Wewe ni Man U bila shaka si kwa unyonge huo.

Liverpool bingwa!!!
 
Back
Top Bottom