Utabiri wangu kuhusu kipindi Hiki cha mwisho wa mwaka mpaka mwakani 2026

Utabiri wangu kuhusu kipindi Hiki cha mwisho wa mwaka mpaka mwakani 2026

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,222
Reaction score
5,632
Mvua itanyesha kubwa kwenye baadhi ya maeneo na kuleta maafa ,pengine uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu.

Kama una kufahamu Anza kutunza chakula mapema.
 
mvua itapiga mpaka tarehe 8 halafu 9 watu wanaingia rodini baada ya hapo ni laana inafuata
 
Umenikumbusha Lotus 123 kwenye computer za Macintosh!!! Ilikuwa miaka ya hiyo!
 
Back
Top Bottom