L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,222 Reaction score 5,632 Nov 21, 2025 #1 Mvua itanyesha kubwa kwenye baadhi ya maeneo na kuleta maafa ,pengine uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Kama una kufahamu Anza kutunza chakula mapema.
Mvua itanyesha kubwa kwenye baadhi ya maeneo na kuleta maafa ,pengine uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Kama una kufahamu Anza kutunza chakula mapema.
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,705 Reaction score 5,540 Nov 21, 2025 #2 RAHA BURUDANI.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 21, 2025 #3 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,006 Reaction score 9,542 Nov 22, 2025 #4 mvua itapiga mpaka tarehe 8 halafu 9 watu wanaingia rodini baada ya hapo ni laana inafuata
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,646 Reaction score 28,747 Nov 22, 2025 #5 Umenikumbusha Lotus 123 kwenye computer za Macintosh!!! Ilikuwa miaka ya hiyo!
KuniMbichi JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 249 Reaction score 359 Nov 22, 2025 #6 Lotus 123 said: uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Click to expand... Hili tayari linajulikana. Ardhi ishaonjeshwa damu zisizo na hatia.
Lotus 123 said: uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Click to expand... Hili tayari linajulikana. Ardhi ishaonjeshwa damu zisizo na hatia.