mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 358
- 895
Una maana ya kama magufuli yanatokea? Pindi Udikiteta ukiwa umepamba moto mkaliMaandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi.
Baada ya hapo yamkini ndio utabiri wa shehe Yahaya utatimia.
Ni maoni yangu binafsi msinitukane.
Mandamano ya kuandamana moyoni nayo huwa makubwa sana kwani kwa Asilimia kubwa huwa ni kumlilia mungu atende jamboUsiseme hivyo Mangekimambi atalia
mvua na upepo mkali kama wa Jamaica sasaKwa Dar, watawala waombe mvua inyeshe vinginevyo..
Samia kama Mtanzania kutokea Zanzibar hawezi kuwa na kiburi cha Mamlaka. Amini hili kwa asilimia zote.Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi
Au sioUsiseme hivyo Mangekimambi atalia
Kama wewe sio Mzanzibari bhasi ni Muislamu ama yote kwa pamoja.Usiseme hivyo Mangekimambi atalia
Kwani haya maandamano yanaongozwa na Mangekimambi?Usiseme hivyo Mangekimambi atalia
Mimi sio Mzanzibar wala muislam, sio CCM wala CHADEMA, ni mtanzania wa kawaida anayependa nchi yake.Kama wewe sio Mzanzibari bhasi ni Muislamu ama yote kwa pamoja.
Utajua HaujuiKwani haya maandamano yanaongozwa na Mangekimambi?
Endelea na hizo "kama" "kama" zako ukimaliza jifiche juu ya dari kama kawaida yenu NyumbuKama wewe sio Mzanzibari bhasi ni Muislamu ama yote kwa pamoja.
Maandamano yaliyoongozwa na Mangekimambi na yakafeli ni yale ya kipindi cha Magufuli ila sio haya, haya sio maandamano ambayo watu wanataka kuandamana kisa wameshawishiwa na Mange.Utajua Haujui
Kama hadi polisi na wanajeshi wamekamatwa basi Hili suala safari hii si la wananchi tu mkuuEndelea na hizo "kama" "kama" zako ukimaliza jifiche juu ya dari kama kawaida yenu Nyumbu
We kweli Nyumbu sasa kama haujui nani ana facilitate maandamano ndo utawezea wapi kuandamana? Unajua ni nani kaanzisha wazo na kataja tarehe 29 ndo tarehe ya kuandamana?Maandamano yaliyoongozwa na Mangekimambi na yakafeli ni yale ya kipindi cha Magufuli ila sio haya, haya sio maandamano ambayo watu wanataka kuandamana kisa wameshawishiwa na Mange.