Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ilinyesha mvua kwisha habari yao.Kwa Dar, watawala waombe mvua inyeshe vinginevyo..
Wewe unaelewa mie nachokisema au umekariri tu Mangekimambi?We kweli Nyumbu sasa kama haujui nani ana facilitate maandamano ndo utawezea wapi kuandamana? Unajua ni nani kaanzisha wazo na kataja tarehe 29 ndo tarehe ya kuandamana?
Ulifikiri tarehe 29 mbali haya sasa imefika toka tukuoneWewe unaelewa mie nachokisema au umekariri tu Mangekimambi?
Sizungumzii nani aliyeanzisha wala kupanga tarehe hapa, haya maandamano ni zaidi ya Mangekimambi hata kama huyo Mange angekuwa bongo na akatekwa bado hiyo isingeathiri hali ya maandamano. Tatizo unaukwepa ukweli kuwa watu wamechoka na hali sio shwari tena unajilazimisha kuamini kwamba et Mangekimambi ndio anawadanganya watu.
Endelea na hizo "kama" "kama" zako ukimaliza jifiche juu ya dari kama kawaida yenu Nyumbu
Nyumbu we😁😁😁😁 kwa hiyo hapo umeona umeandika kitu cha kuniumiza au kunidhihaki.
Pole sana kaka ila ndio hivyo, huna fikra huru na umefungwa na hizo pande ulizopo..
Kingine uniite nyumbu au ndama ama hata kitu kibaya zaidi. Yote kheri
Tuliza maruhani mkuu. Tutumie VPN in peace 🙏🏽Nyumbu we
Wewe jamaa unawaona watanganyika ni wajinga sana eti?Samia kama Mtanzania kutokea Zanzibar hawezi kuwa na kiburi cha Mamlaka. Amini hili kwa asilimia zote.
Binafsi wala sijatolea macho haya maandamano ya kesho mkuu hata yasipofanyika, nachoangalia ni huu muamko wa wananchi ambao kila siku unaazidi ndio kitu ambacho kilikosekana.Ulifikiri tarehe 29 mbali haya sasa imefika toka tukuone
Aisee wewe mjuba unateseka kuliko chawa wengine.. yaani uko online almost muda wote...Pole sana mkuu.Usiseme hivyo Mangekimambi atalia
Na wewe umejuaje kwamba yuko online muda wote?Wewe ulikuwa wapi?Au kuwaita nyumbu umekereka?Aisee wewe mjuba unateseka kuliko chawa wengine.. yaani uko online almost muda wote...Pole sana mkuu.
Tulia weŵe, acha ajibu mwenyewe!Na wewe umejuaje kwamba yuko online muda wote?Wewe ulikuwa wapi?Au kuwaita nyumbu umekereka?
Haters wa Samia humu sura zitakuwa kama za mtu anayekwepa jiwe.Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi.
Baada ya hapo yamkini ndio utabiri wa shehe Yahaya utatimia.
Ni maoni yangu binafsi msinitukane.
Huu si utabiri bali ubatili na wanga nyookoooMaandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi.
Baada ya hapo yamkini ndio utabiri wa shehe Yahaya utatimia.
Ni maoni yangu binafsi msinitukane.
Itabiri yaku itakuwa ya kichawa au ya kichawiMaandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza kufanya kama wanavyotaka, hata yale makucha waliyokuwa wanayaficha watayachomoa plus visasi.
Baada ya hapo yamkini ndio utabiri wa shehe Yahaya utatimia.
Ni maoni yangu binafsi msinitukane.
Hatutaki tabiri na maneno ya *******.. kama unajiona akili tofauti na ukombozi kaiambie falimia Yako manina aaaaMaandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.