Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Huyo mzee mkuchika unamjua vzur mkuu?Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madeni
4. George Mkuchika
Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
Katelefoni anaweza akapumzishwaNionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madeni
4. George Mkuchika
Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
Acha kuotaNionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madeni
4. George Mkuchika
Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
5.Kutakuwa na igizo jipya kutoka kwa sana chugga.
Waziri mkuu ajae ni mh lukuviNionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madeni
4. George Mkuchika
Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
5.Kutakuwa na igizo jipya kutoka kwa sana chugga.
Utabidi wako ni fakeNionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madeni
4. George Mkuchika
Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
5.Kutakuwa na igizo jipya kutoka kwa sana chugga.
Dah... Kwani Majaliwa kazuia ufisadi gani? 😳Ondoa Majaliwa, anapigwa chini...
Waziri mkuu ni Makamba
Jamani mtamponza Lukuvi Kama mlivyomonza KimitiWaziri mkuu ajae ni mh lukuvi
Kuna hasara gani ccm ikifa!!?Mama anaendelea kuchemka awe mvumilivu atatue migogoro ndani ya chama ama sivo shauri yake chama kitamfia
Haaaa eti kuna hasara gani.Kuna hasara gani ccm ikifa!!?
Hajui kiongereza wanasema atiWaziri mkuu ajae ni mh lukuvi
No way....!!! Kumbuka alivyo ongelea mambo ya udini ZNZ.Waziri mkuu ajae ni mh lukuvi